GET /api/v0.1/hansard/entries/567690/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 567690,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/567690/?format=api",
"text_counter": 135,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "Vyama vidogo huhitajika sana tukija hapa Bungeni, Seneti au katika Bunge za Kaunti kwa sababu ya kura walizonazo katika Bunge na katika Seneti. Hata hivyo, wakati pesa zinapogawanywa huko nje, havikumbukwi. Vinahitajika tu wakati kura zao zinatakikana kutumika kusaidia Serikali na kusaidia kama ni mrengo wa CORD au Jubilee. Pesa ambazo vyama vinapewa zinatoka kwa kila Mkenya kwa hivyo ubaguzi huu wa vyama vidogo kutopewa pesa lazima tuumalize."
}