GET /api/v0.1/hansard/entries/567796/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 567796,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/567796/?format=api",
    "text_counter": 241,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Shukrani, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono Mswada huu na kumpongeza Mhe. Wamalwa kwa sababu umekuja kwa wakati unaofaa, tukiwa tumebaki na muda mfupi kwenda kutafuta kura tena. Naunga mkono Mswada huu kwa sababu hali ilivyo sasa katika kila chama - na nitazungumzia upande wa chama changu ili nisizungumzie wengine - kila mwezi mshahara wetu unakatwa. Zile ofisi ambazo zimewekwa mashinani inambidi Mhe. Mwanyoha atoe pesa mfukoni mwake ili azilipie. Unashangaa hizo pesa ziko wapi. Hata kabla pesa hizo kuzungumziwa zaidi, ningetaka Mkaguzi Mkuu wa Fedha ajitokeze waziwazi kukagua matumizi ya pesa hizo kwa sababu hatuelewi. Hakuna wakati ambapo tumeelezwa kuhusu matumizi ya pesa hizo kinagaubaga ili tujue zinatumika kwa njia gani. Kwa sababu hiyo, hivi vyama vingine vimeshikiliwa kama vyombo binafsi. Vina ubaguzi na ukabila. Wengine wakizungumza na upande wa pili, ni haleluya! Lakini wengine kutoka eneo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}