GET /api/v0.1/hansard/entries/568697/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 568697,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/568697/?format=api",
"text_counter": 342,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nakara",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2926,
"legal_name": "John Lodepe Nakara",
"slug": "john-lodepe-nakara"
},
"content": "ambao tulionao na kwa lugha yote tunayoweza. Ningependa kusema mambo mawili. Jambo la kwanza ni kuwa kuna askari ambao wamechukua nafasi hii kunyanyasa wananchi. Wanaenda kushika wenye pombe lakini pia wanawanyanganya pesa na kuwaharibia mali yao. Lazima tuchunge askari kama hao ambao wananyanyasa wananchi."
}