GET /api/v0.1/hansard/entries/568698/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 568698,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/568698/?format=api",
"text_counter": 343,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nakara",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2926,
"legal_name": "John Lodepe Nakara",
"slug": "john-lodepe-nakara"
},
"content": "Jambo la pili nikuwa kuna watu wa aina mbili katika jambo hili. Kuna watu ambao wanatengeneza pombe kwasababu ni maskini. Pia, kuna watua mbao wanakunywa pombe kwa sababu wana pesa. Ningependa serikali za kaunti na Serikali Kuu zihakikishe kwamba kuna njia ambazo zinasaidia watu ambao wanatengeneza pombe kujimudu kimaisha. Ni njia moja kusimamisha watu wasikunywe ama wasitengeneze pombe lakini ni njia nyingine uchumi wa sehemu hiyo uangaliwe kwasababu kuna watu ambao wanatengeneza pombe kwa sababu ya umaskini. Ni bora serikali za kaunti na Serikali Kuu zijaribu njia za kusaidia watu wa namna hiyo ili wajimudu kimaisha."
}