GET /api/v0.1/hansard/entries/568699/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 568699,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/568699/?format=api",
"text_counter": 344,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nakara",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2926,
"legal_name": "John Lodepe Nakara",
"slug": "john-lodepe-nakara"
},
"content": "Nikimalizia, ningependa kukubaliana na wengine kwamba hili jambo ni janga. Kwa hivyo, ukitoa mtu katika shida lazima pia uwe na njia ya kumsaidia kujimudu kimaisha. Leo huyu mtu ameacha pombe lakini kesho atarudia pombe. Kwa hivyo, ni vizuri hao watu wapelekwe katika shule ama mahali pa kupatiwa mawaidha pole pole na waache pombe. Kwa hivyo, ninaomba Serikali ifungue vituo vya kuwasaidia hao watu na wapatiwe ushauri ili wawe watu wazuri. Ninaunga mkono Hoja hii. Asante"
}