GET /api/v0.1/hansard/entries/568931/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 568931,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/568931/?format=api",
"text_counter": 202,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika ninakushukuru kwa kunipatia nafasi hii. Nikianza, ningependa kumwambia Mhe. Cecil Mbarire ajue tofauti kati ya chuo kikuu na college . Ninamwomba ajue jambo hili. Yangu ni kumwambia tu kuwa watu ambao walienda college hawakuenda chuo kikuu. Kwa hivyo Mhe. Mbarire---"
}