GET /api/v0.1/hansard/entries/568935/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 568935,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/568935/?format=api",
"text_counter": 206,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika, si nia yangu kutusi ama kushusha hadhi ya kiti cha Naibu Spika lakini ninaomba kama wewe pia ulienda huko ukubali maoni yangu kuwa sikubaliani na Mhe. Mbarire kuwa kilikuwa chuo kikuu. Wakati huo kilikua college. Kwa hivyo, wote walioenda huko wakati huo walienda college."
}