GET /api/v0.1/hansard/entries/568946/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 568946,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/568946/?format=api",
"text_counter": 217,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Ngoja nimalize. Watu wa Embu, Mkoa wa Kati na hata Mkoa wa Mashariki ni sawa na hawana tofauti. Wakati wa kura wanasema wako pamoja lakini ikiwa ni kugawanya vitu inakuwa wako tofauti. Ninatumai wakati umefika tuambiane ukweli na ukweli usemwe."
}