GET /api/v0.1/hansard/entries/572227/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 572227,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/572227/?format=api",
"text_counter": 192,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Bule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1029,
"legal_name": "Ali Abdi Bule",
"slug": "ali-abdi-bule"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, nataka unielewe kwamba mimi si mtu wa kutatizwa, kusukumwa na kutishwa. Mimi nimechaguliwa na FPK. Leo FPK itaenda vile mimi nitaamua. Wao wanafaa kunyenyekea na kuniomba niwaunge mkono na wakiendelea kufanya hivyo, hata chama cha KANU nitachukuwa na mtakuwa chama ndogo katika Bunge hili la Seneti. Kwa hivyo, muwe na nidhamu ya kutosha."
}