GET /api/v0.1/hansard/entries/573103/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 573103,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/573103/?format=api",
"text_counter": 279,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13130,
"legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
"slug": "zuleikha-juma-hassan"
},
"content": "Pia nilifurahi kwa sababu wageni wake wengi ni wale tunaita kwa lugha ya kimombo VIPs (Very Important Persons) . Walikuwa ni vijana kutoka nchi tofauti za Afrika. Kwa hivyo, hilo lilinifurahisha sana. Pia leo nimefurahi kwa sababu Kiongozi wa Wengi hapa Bungeni, Mheshimiwa Duale, alikubaliana na maswala ya kuwa vijana ni watu muhimu sana. Wahenga, sio hapa kwetu Afrika Mashariki lakini pia katika nchi zile zingine, wamezungumzia kuwa vijana ni muhimu. Ukiangalia vijana vile walivyo hivi sasa, unaweza kujua nchi itakuwa vipi miaka 50 ijayo. Katika Kenya yetu, vijana wengi hawana kazi, hawajasoma na wengi wako katika masuala ya mihadarati na wameharibika. Kwa hivyo, ukitaka The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}