GET /api/v0.1/hansard/entries/57403/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 57403,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/57403/?format=api",
    "text_counter": 494,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Yakub",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 378,
        "legal_name": "Sheikh Yakub Muhammad Dor",
        "slug": "sheikh-dor"
    },
    "content": "Mwanzo, ninaunga mkono Hoja hii iliyoletwa na Bw. Affey na ningependa kumfahamisha Waziri ambaye amejaribu sana kurekebisha haswa ofisi ya kupata cheti cha kusafiria--- Ukiangalia Sura ya 14(1) ambayo inaeleza wazi kwamba ikiwa mwenye kuomba kitambulisho ni Mkenya, basi mmoja kati ya wazazi inatosheleza yeye kupate kitambulisho. Sura ya 12(1)(b) kuhusu cheti cha kusafiria katika Katiba mpya inaeeleza kwamba ni haki ya kila Mkenya kupata. Lakini ningependa kumfahamisha Waziri kwamba kwetu Pwani, shida hii ni ya ajabu. Mkenya akienda kuomba kitambulisho, huambiwa apeleke cheti chake cha kuzaliwa, cha babake na cha babu, kadi ya sindano,shahada ya shule, hati ya nyumba naleseni ya kufanya biashara kutokana na"
}