GET /api/v0.1/hansard/entries/57405/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 57405,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/57405/?format=api",
"text_counter": 496,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "mmoja katika wazazi. Haya ni mambo ambayo yanafanyika na ningependa Waziri ayafuatilie na atuhakikishie kwamba watu wa Pwana wasiwe wakidhulumiwa kwenye masuala ya kuomba vitambulisho. Si haki vitu hivyo vyote kuombwa bali Wakenya wengine hawaombwi vyeti hivyo saba au nane!"
}