GET /api/v0.1/hansard/entries/574337/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 574337,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/574337/?format=api",
"text_counter": 165,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Bule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1029,
"legal_name": "Ali Abdi Bule",
"slug": "ali-abdi-bule"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa kuchangia. Ni muhimu kupitisha Hoja hii. Hata hivyo, si vyema ikiwa tutapitisha Hoja muhimu kama hii inayohusu pesa kwenda mashinani ilhali zikifika huko zinatumika vibaya kwa sababu hakuna njia ya kuifuatilia. Sisi, Maseneta, tunaonekana kama mazuzu na watu wasioelewa wanalofanya. Bw. Spika, juzi, kule mashinani katika bunge---"
}