GET /api/v0.1/hansard/entries/574361/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 574361,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/574361/?format=api",
    "text_counter": 189,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Leo tunatekeleza wajibu wetu kama Bunge la Seneti ili kuelekeza pesa mashinani. Kila Kaunti imepata haki yake. Lakini sijui kama tutatabasamu ama tuanze kulia na kusaga meno kwa sababu hatujui zitatumika namna gani huko. Leo ninapiga kura Kaunti ya Migori ipatiwe Kshs5,836,852,127. Leo tukipitisha Hoja hii Kaunti hii itapata Kshs465,900,000. Lakini kuna wale walafi ambao wanazingoja waanze kuzitumia kwa sera zisizokubalika. Nawatangazia watu wa Migori kwamba mimi niko tayari kugongana na Gavana na Spika iwapo hawatatekeleza wajibu wao kwa haki. Tutakutana kwa mikutano na nitawajulisha wananchi kuhusu ulafi, ulevi na ufidhuli wao mpaka wajukikane walivyo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}