GET /api/v0.1/hansard/entries/574745/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 574745,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/574745/?format=api",
    "text_counter": 128,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Onyonka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 128,
        "legal_name": "Richard Momoima Onyonka",
        "slug": "richard-onyonka"
    },
    "content": "Ukiangalia Hoja hii, mkataba huu ukitiwa sahihi, nchi za Africa Mashariki zote zitakuwa zinaungana na kufanya kazi pamoja. Zitapashana habari kuhusu mambo ya ujasusi. Ikiwa kutakuwa na msiba ama shida yoyote - hata kama kutakuwa na ugonjwa kama vile Ebola - nchi zote za Afrika Mashariki zitakuja pamoja na tutaungana na kujaribu kutatua shida hiyo."
}