GET /api/v0.1/hansard/entries/574747/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 574747,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/574747/?format=api",
    "text_counter": 130,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Onyonka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 128,
        "legal_name": "Richard Momoima Onyonka",
        "slug": "richard-onyonka"
    },
    "content": "Jambo la pili ni kuhakikisha kwamba kila nchi itakuwa imetoa msimamo wake. Hili ni jambo lazima likubalike katika nchi zote ambazo zimehusika. Tukubali Mkataba huu ili kuhakikisha kuwa tumesuluhisha shida iliyoko. Nina uhakika kuwa wakati ambao Rwanda ilikuwa na shida zake, kama tungekuwa na jeshi la dharura, lingekuwa limeenda Rwanda na yale mauaji ambayo yalifanyika yangesimamishwa. Kwa hivyo, ningependa kuwasihi ndugu zangu kuwa tupitishe Hoja hii kwa sababu ni nzuri."
}