GET /api/v0.1/hansard/entries/575523/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 575523,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/575523/?format=api",
"text_counter": 346,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kwa hivyo naunga mkono marekebisho ya siku ya leo. Yataleta mambo mazuri ya kubadilisha mjadala huu ili watu wengi waweze kupata njia ya kurekebisha hata wakiwa na deni. Kutapatikana njia ya kulipa madeni na kubaki kwa njia inayotakikana."
}