GET /api/v0.1/hansard/entries/575524/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 575524,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/575524/?format=api",
"text_counter": 347,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nashukuru na ninaunga mkono sana. Nakushukuru pia kwa sababu ya kunipa nafasi hii. Jambo hilo limenikera kwa siku nyingi lakini imekuwa wakati wake mzuri wa kuletwa Bungeni, ingawa nilikuwa mbali. Ningekuwa na mambo mengi ya kusema lakini nafasi imekuwa ndogo. Naona ndugu zangu hapa wengine na ningetaka pia wachangie."
}