GET /api/v0.1/hansard/entries/575843/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 575843,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/575843/?format=api",
"text_counter": 298,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "kwenye uchaguzi ujao kusiwe na makosa yale yaliyotokea pale mwanzo. Kwa hivyo, ninaunga mkono na ninatoa pongezi zangu mara nyingine tena kwa Seneta Martha Wangari kuhakikisha kuwa tunavyoenda mbele Kenya inaweze kujumuisha wananchi wote kwa maswala ya ugatuzi kwenye bunge za kaunti."
}