GET /api/v0.1/hansard/entries/575902/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 575902,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/575902/?format=api",
"text_counter": 40,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Onyonka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 128,
"legal_name": "Richard Momoima Onyonka",
"slug": "richard-onyonka"
},
"content": "Ahsante Mhe. Naibu Spika. Unajua lugha ya taifa kwa ndugu yangu Mhe. Wamalwa ni dhaifu sana. Haelewi lakini tutakuwa tukimsaidia kila wakati ili ajaribu kuelewa na awe akikizungumza katika Bunge hili. Ningependa kumuunga mkono ndugu yangu Mhe. Limo. Maswala nyeti ambayo tungependa yazungumziwe katika kikao maalum cha kamukunji ni maswala yanayowahusu wafanyikazi wetu. Wengi wao hawajapata mshahara zaidi ya miezi minane. Kuna maswala tungependa tukae na Parliamentary Service Commission tuwaulize maswali kwa sababu kuna mambo ambayo tungependa watupe majibu."
}