GET /api/v0.1/hansard/entries/576346/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 576346,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/576346/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, nakushukuru kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, nimesimama kuunga mkono Mswada huu. Kifungu cha 94(1) na (3) kinapeana wajibu wa utunzi na urekebishaji wa sheria kwa Bunge la taifa. Wale wenye dhana kwamba Wabunge wana nia ya kujiongezea muda na wanataka kuzua pesa, hii ni dhana isiyokuwa na msingi wa kisheria. Tuna wajibu. Wakitusifu au watutusi, tuna wajibu wa kuirekebisha sheria."
}