GET /api/v0.1/hansard/entries/576347/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 576347,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/576347/?format=api",
"text_counter": 222,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Swala nyeti ni, je, Mswada ulioko mbele yetu, unataka kura ya maoni? Kifungu cha 255 ni wazi kuhusu ni nini kinachofaa kupigiwa kura ya maoni na ni nini hakifai. Kwa hivyo, Kifungu 259 kinatupa sisi fursa ya kutunga sheria kama hii ili kuweka wazi siku ya uchaguzi itakuwa lini ndio Wakenya waweze kujipanga kimbele."
}