GET /api/v0.1/hansard/entries/57821/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 57821,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/57821/?format=api",
    "text_counter": 37,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mrs. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ni wazi kwamba Waziri Msaidizi hajawahi kufika huko ili aelewe shida ya watu wetu ambayo imeletwa na wanajeshi wa Uingereza. Wanawake wengi hunajisiwa na wanajeshi hawa. Pia watu wengi wamepoteza maisha yao na wengine kujeruhiwa."
}