GET /api/v0.1/hansard/entries/57827/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 57827,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/57827/?format=api",
    "text_counter": 43,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Musila",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 94,
        "legal_name": "David Musila",
        "slug": "david-musila"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, mimi ninaielewa nchi hii kikamilifu kwa sababu nimeitumikia Jamhuri yetu kwa miaka mingi. Eneo hili ninalifahamu kabisa. Hiki ndicho kisa cha kwanza cha mtu kujeruhiwa kwa risasi wakati wa mazoezi."
}