GET /api/v0.1/hansard/entries/580069/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 580069,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/580069/?format=api",
    "text_counter": 200,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Mswada huu ni muhimu kwa sababu sisi Wabunge ni watu ambao tunafanya kazi kama mawakili wa wananchi na vile vile tunafanya kazi kama watetezi wa wananchi na pia kama viongozi ambao lengo letu ni kuhakikisha kwamba maendeleo yameingia kila mahali katika zile sehemu tunazoongoza."
}