GET /api/v0.1/hansard/entries/580070/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 580070,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/580070/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2308,
"legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
"slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
},
"content": "Wakati wowote, Mbunge ni lazima aweze kuzungumza maneno hata kama yataonekana kama ni maneno makali. Anastahili kulindwa kwa sababu bila ya kulindwa, tutakuwa waoga na hatutaweza kuwatetea watu wetu. Kwa hivyo Mswada huu ni muhimu sana kwa sababu utatuwezesha kutetea watu wetu bila hofu ama uoga. Kwa hivyo, tunahitaji tupate ulinzi mkali katika hali hii. Mswada huu ukipita ndio tutakua tumepata ulinzi mzuri."
}