GET /api/v0.1/hansard/entries/580071/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 580071,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/580071/?format=api",
    "text_counter": 202,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Kwa hivyo, sitakua na marefu sana. Langu ni kuwauliza Wabunge wenzangu waweze kuunga mkono Mswada huu ili tuweze kuwa katika hali nzuri, isiwe kama ile hali ya kutoka zamani ambapo mtu anahangaishwa hapa na pale kwa sababu ya kuzungumza ukweli. Ni ukweli tu ndio utatengeneza nchi hii na ni Mswada huu upite ili tuweze kupata nafasi ya kutengeneza nchi hii."
}