GET /api/v0.1/hansard/entries/582678/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 582678,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/582678/?format=api",
    "text_counter": 57,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika kwa kunipa nafasi kuunga mkono malalamishi haya yaliyoletwa kwa niaba ya waliokuwa madiwani. Bw. Spika, Waswahili husema kuwa ukiona kichwa cha mwenzako kikinyolewa chako tia maji. Hata sisi pia tunaweza tukawa wa zamani kama wao. Kwa hivyo, ni vyema kushughulikia masilahi yao na kuhakikisha kuwa wako sawa. Namshukuru Sen. (Prof.) Lonyangapuo kwa hilo na naunga mkono malalamishi haya. Naomba yatiliwe maanani na kushughuliwa haraka iwezekenavyo."
}