GET /api/v0.1/hansard/entries/584636/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 584636,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/584636/?format=api",
"text_counter": 255,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ikiwa si mimi Sen. Mbura, Katolo au Bw.Yusuf Kenga anayemwambia kuwa kuna ardhi inauzwa kule Pwani? Ni sisi wenyewe, watu wa Pwani, Lakusikitisha ni kwamba siku zote twasikia tu ni mtu mmoja Kenya hii akiambiwa ndiye mnyakuzi wa ardhi lakini pia tuna ndugu zetu Pwani ambao wana ardhi kubwa sana walizonyakuwa kwa mlango wa nyuma na hao ni watu ambao hawatajwi. Ardhi zote zilizoko kwenye ufuo wa bahari zimechukuliwa na ndugu zetu wa Pwani ambao hawajatajwa mpaka leo. Jina ambalo latajwa mara kwa mara ni lile la Kenyatta. Lakini hautasikia majina kama; Hussein Dairy, Mazrui, TSS, Sen. Mbura, Sen. Madzayo na wengine wengi. Anayetajwa kila mara ni mmoja tu."
}