GET /api/v0.1/hansard/entries/587130/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 587130,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587130/?format=api",
"text_counter": 175,
"type": "speech",
"speaker_name": ". Hon. Bedzimba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1933,
"legal_name": "Rashid Juma Bedzimba",
"slug": "rashid-juma-bedzimba"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii ya kuchangia Hoja hii muhimu. Nimesimama kupinga Hoja hii kwa sababu ukiangalia mataifa jirani kama Uganda na Rwanda hayana muda maalum wa viongozi wa mataifa hayo kuhudumu. Sisi tuna miaka mitano maalum lakini wao hawana. Ni hatari sana kuungana nao kijeshi ama kiusalama. Wanaweza kutuambukiza ugonjwa huo huku kwetu."
}