GET /api/v0.1/hansard/entries/587950/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 587950,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587950/?format=api",
    "text_counter": 59,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Hivyo ndivyo demokrasia ilivyo. Hata sisi kule, tuliokuwa nao sasa wako upande wa pili. Hayo ndio maisha ya siasa. Pili, aliniambia: “Rais, nakuomba usiondoke mpaka hili jambo liishe.” Nilimwambia kuwa nina nchi ya kuongoza na kwamba hapa Kenya hapawezi kuwa na marais wawili. Hata hivyo nilielewa na tukaanza kusaidiana. Iliyobakia ni historia kwa maana sitaki kueleza. Kwanza, nilifanya mkutano na Mhe. Raila. Nimeambiwa kuwa yuko hapa. Tulizungumza naye kisha baadaye nilienda kuzungumza na Rais Kibaki. Nilikuwa natoa maneno huku nikiyapeleka kule."
}