GET /api/v0.1/hansard/entries/587956/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 587956,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587956/?format=api",
    "text_counter": 65,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Pengine nimesema mengi sana lakini kuna ushirikiano wa karibu sana. Wakati mwingine, tukiyapata mambo mengine sisi tunawaarifu wenzetu na tumeweza kabisa kuokoa mazingira. Kuna tukio moja walikuwa wanataka kufanya baya sana kabla uchaguzi uliopita lakini tulipowajua, tulisaidiana na wenzetu Wakenya tukawakamata watu wake. Kwa hivyo, tumekuwa tukisaidiana sana. Nimeeleza sehemu tu lakini hata hivi sasa ushirikiano wetu ni mkubwa sana na ni wa karibu sana. Pia, tuko na ushirikiano mzuri sana katika kupambana na uhalifu kama cross"
}