GET /api/v0.1/hansard/entries/587962/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 587962,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587962/?format=api",
    "text_counter": 71,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ushirikiano wetu wa kwanza ni kwamba nchi zetu mbili zimekubaliana kama upande moja una umeme na upande mwingine hauna, ama hata upande huu hawana, wana haki ya kupata umeme kutoka upande ule wa pili. Tumefanya hivyo kwa umeme. Ninyi, Kenya, mmefikisha umeme Namanga na sisi upande wa Tanzania umeme haujafika. Kwa hivyo, Namanga upande wa Tanzania na mji wa karibu wa Longido tumewaunganishia umeme kutoka Kenya. Tumefanya hivyo kwa upande ule wa Sirare, Tarime kule kwetu. Sisi tuko na umeme, upande wa pili haukuwa na umeme. Tumeunganisha kutoka huko tukavukisha ule upande wa pili. Na hayo ndiyo The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}