GET /api/v0.1/hansard/entries/587964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 587964,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587964/?format=api",
"text_counter": 73,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "makubaliano kwa vitu ambavyo viko upande mwingine, kama upande wa pili hakuna, tunafanya kwa pamoja na hatuulizani unapeleka wapi. Tukiulizwa, tunasema tunapeleka kwa ndugu zetu. Lakini, tunashughulika hasa kwa mradi mkubwa zaidi. Sisi bahati mzuri Tanzania, tunavyo vyanzo vingi vya nishati vya umeme. Tumefanya mazungumzo na Rais Uhuru kwamba tuone namna haraka ya Kenya itapata 1000 megawatts kutoka Tanzania. Tukaona tunachoanza nacho sasa hivi ni kujenga transmission line ya 400 KV kwa sababu ina uwezo wa kusafirisha umeme mkubwa. Makubaliano yametiwa sahihi. Pia, tunaweza kupata umeme kutoka Zambia kwa sababu ni Zambia-Tanzania na Kenya"
}