GET /api/v0.1/hansard/entries/587966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 587966,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587966/?format=api",
"text_counter": 75,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ujenzi unaanza upande wetu na tunakuja kuunganisha Namanga. Sisi, tumeleta bomba la gesi Dar-es-Salaam tunaweza zaliisha 3000 megawatts na tumesema kwa sasa tutatenga 1000 megawatts kwa ajili ya Kenya Interconnect ikikamilika, itakuwa rahisi. Lakini tuna mazungumzo mengine ya kulisongesha bomba la gesi kuja Kenya. Sasa sijui litapita kwenda Mombasa ama litakuja Nairobi. Hiyo habari tunawaachia wenyewe."
}