GET /api/v0.1/hansard/entries/587968/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 587968,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587968/?format=api",
    "text_counter": 77,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Wiki ijayo nadhani kama kila kitu kitaenda sawa sawa, tutamaliza makubaliano juu ya mradi huu. Mradi huu, utaongezea sana Kenya uwezo mkubwa wa kupata umeme mwingi kwa gharama nafuu. Nchi zetu mbili zina ushirikiano wa karibu sana katika biashara na uwekezaji, kwa lugha ya kingereza ni strong bonds of co-operation ininvestments and trade . Tunachosema sisi, Tanzania, hatuna ushindani na Kenya. Sisi, Tanzania, Kenya ni mshiriki wa mkakati, strategic partner. Tunashindania nini? Mpaka sasa hivi tulichokifanya kidogo ni kama ncha tu ya kucha, sasa mmeshafika kwenye ncha ya kucha ndio mnashindana, mtabaki papo hapo. Kumbe mna uwezo wa kufanya mpaka ikawa mkono wote. Lakini kwa nini sisi tunasema Kenya ni mshiriki wa kimkakati, yaani strategic"
}