GET /api/v0.1/hansard/entries/587970/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 587970,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587970/?format=api",
    "text_counter": 79,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "? Katika zile nchi kumi zenye uwekezaji mkubwa Tanzania, Kenya ni ya tano. Kuna Uingereza, Uchina, Marekani, India halafu Kenya inafuata. Lakini unapochukua wale wawekezaji kutoka Afrika, ambao katika wale kumi bora, ziko nchi mbili tu za Afrika, Kenya na Afrika Kusini; Kenya ndio inayoongoza, Afrika Kusini inafuata."
}