GET /api/v0.1/hansard/entries/587972/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 587972,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587972/?format=api",
"text_counter": 81,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Katika hali ya kawaida mtu angedhani kwamba Afrika Kusini ingeongoza ikifuatwa na Kenya. Ndio maana tunasema kwamba, kwetu Kenya ni mshirika wa kimkakati kwenye masuala ya biashara na uwekezaji. Uwezekaji wa Kenya ni miradi 518; mingi sana. Wakati mwingine tunaweza kuambiwa hali ni mbaya; wanawaogopa. A lot has beeninvested across . Dhamani yake ni US$1.6 bilioni. Hata hayo mataifa makubwa tunayoyasema, mengine yana US$2 bilioni. Ni kwa sababu tu yamefikia kiwango hiki ndio maana Kenya inakuwa ya tano. Lakini tofauti kati ya US$1.6 bilioni na US$2 bilioni si ndogo. Miradi hiyo iliyowekezwa imesababisha ajira kwa Watanzania 55,762; hali yao ya maisha imekuwa nzuri kwa sababu ya uwezekaji kutoka Kenya. Wamepata ajira, The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}