GET /api/v0.1/hansard/entries/587976/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 587976,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587976/?format=api",
    "text_counter": 85,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa upande wa biashara, kwa Afrika Mashariki, Kenya ni mshirika wetu mkubwa. Hakuna nchi nyingine. Biashara kati ya Kenya na Tanzania inakuwa kwa kasi kubwa sana. Kwa Kiingereza ni exponential growth, kwa sababu katika miaka mitano hii na hata kwa mwaka huu umekuwa kubwa zaidi. Hii inaonyesha how close, how vibrantthe economic investment and trading cooperation is between our countries . Lakini haya yote yanathibitisha mambo mawili; na nimesema pale kwamba kwa maana unapochukua takwimu za Afrika Mashariki kuhusu biashara, biashara baina ya nchi zetu mbili is 80 to90 per cent of the trade; to underscore how big the volume of trade is between our twocountries. Wenzetu waliobakia they share only 10 to 20 per cent . Kwenye mazingira hayo, na ndio nilikuwa nasema kwamba Kenya na Tanzania lazima washirikiane."
}