GET /api/v0.1/hansard/entries/587978/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 587978,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587978/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ina maslahi kwa nchi zetu lakini pia ina maslahi makubwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Lakini tulichokifanya bado ni kidogo, tunaweza kufanya zaidi kuliko tunavyofanya hivi sasa. Leo asubuhi nilipokuwa nazungumza na Baraza la Biashara kati ya Tanzania na Kenya, niliwaambia kwamba Tanzania iko tayari kufanya biashara zaidi na Kenya; kuongeza uwekezaji kutoka Kenya na kuuziana zaidi. Tuna uwezo wa kupokea vitega uchumi vingi zaidi na maeneo na fursa za uwezekaji ziko nyingi; oil, gas, energy, miningand transportation. Nchi za Congo, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia wanatumia sana bandari ya Dar es Salaam. Wanasafirisha mizigo yao nyingi kwa barabara. Wawekezaji kadhaa wa Kenya wamewekeza Tanzania; biashara yao ni magari tu, wanabeba bidhaa za Congo na za nchi jirani. Ni maeneo ambayo yana a lot of prospects kwa sababu those economies are also"
}