GET /api/v0.1/hansard/entries/587986/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 587986,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587986/?format=api",
"text_counter": 95,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kwetu sisi ni sera na ni jambo la msingi. Tumekuwa waumini wa Umoja wa Afrika ndio maana Tanganyika na Zanzibar zikaungana kuzaa Tanzania baada ya shirikisho kuchelewa kidogo. Lakini pia ndio maana tukiwa kwenye East AfricanEconomic and Political Integration, tunaamini kwamba kama nchi za Afrika Mashariki The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}