GET /api/v0.1/hansard/entries/587990/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 587990,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587990/?format=api",
    "text_counter": 99,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mwishowe, ninamalizia kwa kusema tu kwamba nitaondoka baada ya kumaliza kipindi changu nikiwa na furaha moyoni kwamba naacha nyuma uhusiano wa Kenya na Tanzania ukiwa mzuri kuliko wakati mwengine wowote katika historia ya nchi zetu mbili."
}