GET /api/v0.1/hansard/entries/587992/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 587992,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587992/?format=api",
    "text_counter": 101,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ninawahakikishia kwamba hata mimi baada ya kuondoka, sera hiyo haitabadilika. Naijua nchi yangu vizuri. Nimesema labda tupate mtu mpumbavu kweli na wa ajabu sana. Watu aina hiyo ni wachache sana Tanzania."
}