GET /api/v0.1/hansard/entries/587994/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 587994,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587994/?format=api",
"text_counter": 103,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Atakayedhani kwamba uhusiano na Kenya hauna maana kabisa, achana naye. Tunapaswa tuwachane na wanaodhani kwamba uhusiano wetu na Kenya hauna maana kwa sababu watasababisha umaskini tu. Hivi sasa the bulk of our trade tunafanya na Kenya. Ukivunja uhusiano huu, ile pamba utakula mwenyewe? Sio chakula lakini hata kama ingekuwa chakula si mtakula mpaka mtavimbiwa? Huwezi kula pamba, ufuta na vitu vingine vyote. Ni lazima kiongozi yeyote mwenye busara atafute masoko ya bidhaa za nchi yake."
}