GET /api/v0.1/hansard/entries/587998/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 587998,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587998/?format=api",
    "text_counter": 107,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Amesema niwahakikishie kwamba Mwenyezi Mungu akimjalia ashinde, ataudumisha na kuuendeleza uhusiano uliokuwepo kati ya nchi zetu mbili na atajitahidi uwe mzuri kuliko vile ilivyo hivi sasa. Ukishapata kauli kama hizo, kuna hofu gani tena? Nimeskia maneno mengi ambayo hayana ukweli. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}