GET /api/v0.1/hansard/entries/588000/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 588000,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588000/?format=api",
    "text_counter": 109,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ninamshukuru Mheshimiwa Spika wa Bunge la Kitaifa na Spika wa Seneti kwa kunipatia fursa hii ya kuagana nanyi na wananchi wa Kenya kupitia kwenu. Nikiwa rais, inakuwa taabu kidogo, lakini nikija baada ya kuwa Rais, sijajua mambo yatakuwaje. Nadhani nitapata nafasi zaidi ya kukutana na marafiki wengi kuliko ilivyo hivi sasa. Wakati huo tutakutana. Asanteni sana."
}