GET /api/v0.1/hansard/entries/588060/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 588060,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588060/?format=api",
"text_counter": 52,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Justin Muturi, Spika wa Bunge la Kenya, na Mhe. Ekwee Ethuro, Spika wa Seneti, Wabunge wa Kenya wa pande zote mbili, nakushukuru sana Mhe. Spika, kwa kunipa fursa hii kuhutubia Bunge la Kenya. Kwangu mimi ni heshima na bahati kubwa, ambayo daima nitaikumbuka na sitawahi kamwe isahau. Nakushuru zaidi kwa kunipa nafasi hii wakati ambapo nimebakisha siku chache kumaliza kipindi changu cha uongozi wa nchi yangu, kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}