GET /api/v0.1/hansard/entries/588081/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 588081,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588081/?format=api",
    "text_counter": 73,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The President of the United Republic of Tanzania",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Pia tuna uhusiano mzuri sana katika kupambana na uhalifu, ( cross-border crime ), dawa za kulevya, matumizi na biashara ya dawa za kulevya. Imekua tatizo kubwa sana sasa. Tunashirikiana kwa pamoja. Tunashirikiana kwa pamoja kama vile majambazi wakiiba kule wakikimbilia huku na wakiiba huku wakikimbilia kwetu. Sisemi ni tatizo la pamoja. Tatizo sasa limekuwa dunia nzima. Kila palipokuwa na faru na ndovu wanasakwa kwa udi na uvumba wauwawe ili pembe zao zichukuliwe wakafanye biashara. Tunashirikiana kwa pamoja pia wale tunawajua kule tunawarudisha. Wanaofanya uhalifu huku, tumekuwa tunasaidiana."
}