GET /api/v0.1/hansard/entries/588082/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 588082,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588082/?format=api",
    "text_counter": 74,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The President of the United Republic of Tanzania",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Katika maswala ya kiuchumi na kijamii, tumekuwa na ushirikiano mkubwa wa karibu wa miaka mingi. Katika ujenzi wa miundo mbinu, tumekuwa tunashirikiana kwa pamoja kujenga barabara kwa pamoja hasa barabara ya Athi River-Namanga-Arusha. Ni mradi tumeutengeneza kwa pamoja. Tukauombea pesa kwa pamoja. Kenya ikapata mkopo upande wake na ikatekeleza kwa upande wake na Tanzania ikapata mkopo na ikatekeleza upande wake. Jiwe la msingi tuliliwekea Arusha lakini sherehe za kuzindua ile barabara tulizifanyia Athi River kwa sababu ni mradi mmoja. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}