GET /api/v0.1/hansard/entries/588100/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 588100,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588100/?format=api",
    "text_counter": 92,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The President of the United Republic of Tanzania",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Katika hali ya kawaida, mtu angedhani kwamba Afrika Kusini ingeongoza halafu Kenya ifuate. Ndio maana tunasema Kenya ni mshirika wa kimkakati kwenye masuala ya biashara na uwekezaji. Uwekezaji wa Kenya ni miradi 518, ambayo ni mingi sana. Wakati mwingine watu wanaweza kukuambia hali ni mbaya kuwaogopesha. Thamani ya uwekezaji wa Kenya katika Tanzania ni US$1.6 bilioni. Hata hayo mataifa makubwa tunayozungumzia, wengine wana US$2 bilioni. Ni kwa sababu wamefikia US$2 bilioni ndiyo maana Kenya inakuwa ya tano. Tofauti kati ya US$2 bilioni na US$1.6 bilioni ni kidogo. Miradi hiyo iliyowekezwa imesababisha ajira kwa Watanzania 55,762. Hali ya maisha ya watu hao ni nzuri kwa sababu ya uwekezaji kutoka Kenya. Wamepata ajira, wanaoa, wanatakata, wanaishi vizuri na wanawake wanaoelewa na wanaishi vizuri na waume zao."
}